Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama
lililoandaliwa maalum kwa ajili maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru leo jijini
Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama
vya Siasa na Mabalozi pamoja na wageni waalikwa mbalimbali ili
kushuhudia maadhimisho hayo.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA
WA UHURU)Rais Dk. Jakaya Kikwete akikagua kikosi cha Jeshi la Magereza wanawake wakati wa maadhimisho hayo.Rais Dk. Jakaya Kikwete akielekea jukwaani mara baada ya kukagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho hayoRais
Dk. Jakaya Kikwete akiwa jukwaani pamoja na viongozi wengine kutoka
kulia ni Rais Mstaafu Benjamin Wiliam Mkapa, Makamu wa Kwanza wa Rais
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania Dk. Gharib Bilal, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange na Kutoka kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Rais Wa
Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.Rais
Wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kulia akiwa na viongozi wengine
katika jukwaa kuu kutoka kushoto ni Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi,
Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd, Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya
Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo
kwenye uwanja wa Uhuru.Msafara wa Rais ukiingia uwanjani leo.Kikosi cha Jeshi la Ulinzi JWTZ kikipita na kutoa heshima mbele .Kikosi cha Jeshi la Ulinzi JWTZ wanamaji kikipita na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete .Kikosi cha Jeshi la Kujenga taifa JKT kikitoa heshima mbelea ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.Kikosi Maalum Cha Bendera kikitoa heshima zake bele ya Rais Jakaya Kikwete.Kikosi chamJeshi la Ulinzi JWTZ nchi kavu kikipita na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.Kikso cha Askari wa Magereza kikipita na kutoa heshima mbele ya Rais Jakaya KikweteWatoto
wa halaiki wakionyesha ujumbe mbalimbali kuhusu Muungano wetu mbele ya
Rais Jakaya Kikwete na maelfu ya Watanzania waliohudhuria katika
maadhimisho hayo.Watoto
wa halaiki wakionyesha ujumbe mbalimbali kuhusu Muungano wetu mbele ya
Rais Jakaya Kikwete na maelfu ya Watanzania waliohudhuria katika
maadhimisho hayo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment