






Huyu naye akatia fora wakati akicheza na Mwamvuli wake

Kikosi cha Bloggers kabla ya mchezo wa kwanza.

Blogger John Bukuku wa Fullshangweblog akiwa na Blogger wa Sufianimafotoblog Muhidini Sufiani ambaye pia anaweza UDJ kama anavyoonekana hapa


Othman Michuzi akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo kati ya Bloggers FC na DSJ ambapo Bloggers imeshinda penati 3-2


Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiwasili katika viwanja vya Leaders katika bonanza la waandishi wa habari linaloandaliwa na TASWA Kulia ni Mkuu wa Uhusiano na Sheria TBL Bw. Steven Kilindo na kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Juma Pinto
0 comments:
Post a Comment