BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AIBU: WAZIRI WA MADINI AZOMEWA HIVI "CHURA...CHURA....CHURA" NA WAMACHINGA MJINI DODOMA JIONI YA JANA...!!

KATIKA hali isiyo ya kwaida jana jioni , waziri muhongo amepatwa na kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa mjini kati. 
 
Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani wamachinga, walianza kumzomea kumuita “chura! Chura! Chura! Chura!” 
 
Hali iliyompelekea Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari iliyokuwa ikimsubiria pembezoni mwa barabara. 
 
Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !

MAONI.

Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali.
                                           Chanzo:Boss Ngasa
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: