BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!!!!, WANANCHI WAUA JAMBAZI, WENGINE WAWATOROKA KATIKA SOKO LA NDIZI MWANZOMGUMU MORO.

DAKTARI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIANGALIA MWILI WA MTU ANAYEDAIWA KUWA NI JAMBAZI BAADA YA WANANCHI KATIKA KIJIJI CHA MWANZOMGUMU MANISPAA YA MOROGORO K
UMUA HUKU MAJAMBAZI HAYO NAYO YAKIJERUHI WATU WAWILI NA KUPORA KIASI CHA PESA SH 2.3 MIL KATIKA SOKO LA NDIZI KIJIJI HIPO. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZILIZOTUFIKIA ZIMEELEZA KUWA JUMLA YA MAJAMBAZI WATATU WENYE SILAHA YALIVAMIA WAFANYABIASHARA NA WAKULIMA NA KUFYATUA RISASI AMBAZO ZIMEWAJERUHI WATU WAWILI NA KULAZWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO.

WALIOJERUHI NA KUTAMBULIWA NI FURAHA SHOMARI, (30) MKAZI WA MWANZO MGUMU AMBAYE  ALIPIGWA RISASI SEHEMU YA UBAVUNI NA KUTOKEA  ENEO LA TUMBO.

MUNGINE NI  HUSSEIN RAMADHAN SULEIMAN (40) MKAZI MBURAHANI KWA JONGO JIJINI DAR ES SALAAM AMBAYE NAYE ALIPIGWA RISASI KATIKA UGOKO WA MGUU NA KUDONDOKA CHINI HUKU MMOJA WA MAJAMBAZI HAO ALIMPOLA KIASI CHA SH 2.3 MIL PAMOJA NA SIMU YA MKONONI YENYE THAMANI YA SH 80,000 KATIKA TUKIO LILILOTOKEA MAJIRA YA SAA 12 KASORO.

 BAADA YA KUTOKEA TUKIO HILO WANANCHI WALIFANIKIWA KUMBIDHITI MMOJA WAO NA KUMSHUSHIA KIPIGO HADI KUPOTEZA MAISHA.

KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: