MNAOFUATILIA BIFU LA LADY JD NA RUGE,HIKI NDICHO ALICHOWEKA JD UKURASA WAKE WA FB


Lady Jaydee
Nadhani
baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila
mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea
kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.
Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo
kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au
kutozungumza tena
Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au kutozungumza tena
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari


0 comments:
Post a Comment