Mlinzi wa Bar ya Darajani Stop Over Manispaa ya Morogoro aliyetambuliwa kwa jina la Michael Athman (80) ameuawawa na watu wanadhani kuwa ni waharifu wakati wakiwa katika harakati za kuiba mali katika ba
r hiyo.
PICHA JUMAMTANDA.BLOG.
Michael Athman ameonekana sehemu ya kichwa ikiwa imetakaa damu, majeraha na kuashiria kupigwa na kitu chenye nchi kali baada ya kuvamiwa na watu hao usiku wa kumkia leo.
Sehemu ya kichwa ndiyo iliyoumia zaidi na kusababisha kuvuja damu nyingi na kupekea kifo hicho.
Jeshi la polisi mkoani hapa ilifika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu kwenda kuifadhi katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro huku ikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo,
kwa habari zaidi la tukio hilo endelea kutembea blog hii kuweza kupata kilichojiri.......
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / BREAKING NEWS: MLINZI WA BAR YA DARAJANI STOO OVER MORO AUAWAWA WAKATI AKIWA LINDONI.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment