1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho"
2-"Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhi
mu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu"
3"-Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki,niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k"
4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo.

SOURSE: http://www.udakuspecially.com
0 comments:
Post a Comment