MSANII ALBERT MANGWEA.
HII ILIKUWA SEPTEMBA 14/ 2012.
RAPA wa East Zoo, Albert Mangwea
amesema ongezeko la mashoga wengi nchini halimuumizi kichwa kwakuwa
linampunguzia ushindani wa kuwa na made
mu wakali.
Akiongea na Power Jams ya East Africa
Radio mwaka jana Septemba 14 alisema kuwa anashangaa jinsi mwanaume anavyoamua kuukaata
uanaume wake na kuwa kama mwanamke.
“Angalia mila
zetu za kiafrika, ukiangalia dini hazikubali kwamba mtoto wa kiume awe
gay, hiyo tunajua yaani, common sense yenyewe hata mtoto mdogo si vitu
vya kuelekezana lakini kuna watu wametokea sijui kama ni hulka au nini
ambao huwezi kuwabadilisha pia huwezi kumurder mtu.
NGWEA AKIWA KATIKA POZI, ENZI ZA UHAI WAKE.
Picha hii iliwekwa katika mtandao baada ya kifo cha Baba mzazi wa Albert Mangwea aliyefariki dunia 27 Desemba 2009.
Watu
wamekuwa wako hivyo, ukiangalia mila za kiafrika hadi akina mswati
machief wetu walikuwa na mke zaidi ya mmoja, waislamu wanafanya hivyo,
yaani wanawake wako wengi kwaajili ya wanaume sasa wanaume wengine
wanapoamua kuwa kama wenyewe, wanapunguza mchuano, watoto wazuri
wanatuachia tu.
Kwahiyo mimi naona kama wao wamekataa kuwa wanaume, alisema Ngwair.”
Hata hivyo alisema kuwa watu wasimwelewe vibaya kuwa anaunga mkono ushoga kutokana na kauli yake.
“Sio kama
naunga mkono lakini pia sababu wenyewe wameukataa uanaume wao mimi
naona poa tu kwakuwa wanatuachia watoto wazuri wengi tu.”
“How
comes yaani mtoto wa kiume anakuwa gay. Mambo ya kuigaiga western huko.
Western kitu cha kawaida. Lil Wayne alishaulizwa bana wewe ukipata
mtoto wa kiume utajisikia vipi? Akasema nikipata mtoto wa kiume sitajua
kama mtoto wa kiume, ntasubiri mpaka akue ndo nijue.”
ALBERT MANGWEA KATIKA SHOW MWAKA 2011 JAMHURI MOROGORO.JULY 28/ 2009.
Albert Mangwea a.k.a Ngwair na Haji Malick Noorah a.ka Noorah April 1 mwaka 2009.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, akiwa katika pozi. Oktoba 31 mwaka 2011.
0 comments:
Post a Comment