ULIUZA HIVI KWA DUME HILI LA KUSHOTO LIKIMBIDHITI MWEN
ZAKE.
HAPA HUYU AKIWA AMEMDHIBITI TENA KWA KUMKANYAGA KIFUANI NA KUTAFUTA NGUVU ZAIDI YA KUMSHAMBULIA
HAPA AKIONEKANA MOJA AMELALIWA CHINI KATIKA UGOMVI HUO.
HAPA NI TEKE NA KUMNG'ATA KICHWANI
KAZI ILIENDELEA YA KUMKANYA.
HAPA ZOEZI HILO LILIENDELEA KABLA KUWATANYA KATIKA ENEO HILO AMBAPO WALIRUKA NA KUENDELEZA UGOMVI HUO MBELE YA SAFARI YAO AMBAPO SIKUWEZA KUUFUATILIWA.
HUU NI UGOMVI AMBAO NIMEWEZA KUHUSHUHUDIA MAJIRA YA SAA 6 PM MEI 11/ 2013 MCHANA HUU BAINA YA NDEGE HAWA MADUME AINA YA SHORWE.
MADUME HAYO YALIONYESHANA UBABE KATIKA UGOMVI ULIODUMU KWA ZAIDI YA DAKIKA 3 ULIZUKA WAKATI WAKIGOMBEA MAJIKE AMA MOJA WAO KUKIUKA TARATIBU ZA MAISHA YAO YA KILA.
LAKINI HATA HIVYO NILISHINDWA KUGUNDUA YUPI NI MKOSAJI KUTOKANA NA MADUME HAYO KUFANANA RANGI.
0 comments:
Post a Comment