Koo mbili
za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka
kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika
kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma UDOM
Baadhi ya
wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi
kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya
kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
Mkuu wa
kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa
kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima
hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata
Mafanikio ya kiafya na kimaisha: PICHA NA JOHN BANDA
0 comments:
Post a Comment