MTANDA BLOG
  • Home
  • HABARI
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAWASILIANO
  • NAFASI ZA KAZI
    • KAZI ZA KUDUMU
    • KAZI ZA MUDA
    • MATANGAZO YA KAZI
  • NAFASI ZA CHUO
  • MAKALA
  • SIASA
  • MICHEZO
BannerFans.com

Recent posts

Sponsor

Labels

  • kimataifa
  • kitaifa
  • magazeti
  • michezo
  • siasa
  • slider
  • Home
  • MAWASILIANO
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • SIASA
  • VYUO TANZANIA
  • MAGAZETI

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Home / Uncategories / TOP 10 YA UONGO WA WANAUME KWA WANAWAKE HUU HAPA.

TOP 10 YA UONGO WA WANAUME KWA WANAWAKE HUU HAPA.

mtanda blog 9:06 AM Edit
Anna Leonard
Thursday at 10:07pm 
NI MOJA YA MIJADALA INAYOCHANGIWA KUTOKA MTANDAO WA FACEBOOK IKIHUSIANA NA UONGO UNATOLEWA NA WANAUME KWA WAPENDWA WAO (WANAWAKE) KUFUATILIA MAJIBIZANO YA MJADALA HUO. 
  • Top kumi ya uongo wa wanaume
    1.l love u
    2.NIPO SINGO
    3.nipo serious kuhusu wewe
    4.ckuwa na credit
    5.nitafanya chochote kwa ajili yako
    6.NITAKUOA
    7.niamini
    8.SITAKUACHA
    9.NITAKUPIGIA BAADA YA MDA KIDOOGO SUBIRI
    10.Naapa wewe ndo pekee
    DUUH !!!!!.
    3Like · · · Share
    • Athuman Ndaro, Maybin Laston, Jeff Japhea and 19 others like this.
    • 50 of 114
      View previous comments
    • Anna Leonard no mdogo angu nyie mmezidi kubali tu ebu ona comment ya cretus
      Thursday at 11:10pm · Like
    • Jane Jane Jenito hahahahahaha ulikuwa hujui mamy
      Thursday at 11:11pm · Like · 2
    • Anna Leonard kabisa my we acha tu
      Thursday at 11:12pm · Like · 1
    • Erasto Medson hajajiunga fb huyo uliyemdanganya
      Thursday at 11:12pm via mobile · Like · 1
    • Anna Leonard hahahahahaahahahahahaha sina best ambaye hayupo fb
      Thursday at 11:14pm · Like · 1
    • Maxmillian Henery si wote jamani wengine kweli wanamalengo mauri
      Thursday at 11:18pm · Like · 1
    • Anna Leonard hakuna kabisa usijitete best nyie mnaharibu kila kitu@maxmillian
      Thursday at 11:21pm · Like
    • Maxmillian Henery kila mtu na akili ake kupenda kupo lakini mwenye mapenz ya dhati utamjua tu ila nyie mnakuwa wepesi sana kukubari na kuwa tayari kwa lolote kueni makini jamani@anna leonard
      Thursday at 11:25pm · Like · 1
    • Anna Leonard asa hapo si coz ya ulaghai wenu@maxmilian
      Thursday at 11:28pm · Like
    • Lucy Haule tena mi cdhan km kuna mwanaume wa kweli dunian@maximillian
      Yesterday at 12:33am · Like · 1
    • Gerald Kiliba Swala zima la uongo hili linahusisha wanawake na wanaume yani wote ni waongo jaman hivo tusilaumu tu mwanaume sawa Lucy
      Yesterday at 12:47am via mobile · Like · 1
    • Lucy Haule ahhhaa wapi bana nyie ndo mnatufundisha uongo@GERALD
      Yesterday at 1:04am · Like · 1
    • Gerald Kiliba Hapana yan mi namuogopa mwanamke Kama ukimwi maana kama sisi wenye matatizo yakupenda itokee tumetendwa aaaah utajuta.ila kuna wanawake na wanaume wakwel
      Yesterday at 1:19am via mobile · Like · 1
    • Barnaba Lameck Bulugu Co wote
      Yesterday at 6:11am via mobile · Like · 1
    • Lizzo Ngwira We mtoto...!?
      Yesterday at 6:32am via mobile · Like · 1
    • Hamait Joseph Mm ni mkwel na huwa cachag.Anna Leonard
      Yesterday at 6:52am via mobile · Like · 1
    • Anna Leonard kweli kabisa asante lucy yani hawa hawafai hakuna mkweli wote baba yao 1 tu
      Yesterday at 7:43am · Like
    • Anna Leonard usikatae barnaba ndo mlivyo nyie hakuna mkweli ata 1 Lizzo Ngwira nimekuwa funguka@hamiti mdogo angu hakuna ukweli wowote ndani ya coomen yako
    • Anna Leonard uko sahihi JUMA lakini amini dunia hii haina mkweli usikatae ck ya kikukuta utaamini asilani kama wewe mkweli tuweke ahadi hapa ya kuonana leo saa 8
      23 hours ago · Like
    • Kibinza Jackson Saguda It is true kwani bila kudanganya utampata wap utapga punyeto mpaka mwisho mana wanawake wenyewe huwa hawapend ukwel ukimwambia ukweli anakupga chin.wanaume oyeeee jivunie kuzaliwa mwanaume.
      23 hours ago via mobile · Like · 1
    • Hamait Joseph Hahahahah kama vile yamekukuta. Anna Leonard
      23 hours ago via mobile · Like · 1
    • Anna Leonard aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah aya bhana asa ndo udanganye huoni kama unamkosea mungu pia kumbuka usiyachochee mapenzi hadi yatakapo ona vema yenyewe Kibinza Jackson Saguda loooooooooo mdogo angu Hamait Joseph
      23 hours ago · Like
    • Kibinza Jackson Saguda Asa ccta nisipodanganya nitaish je mana ukwel hamuutak.mi naona ndo asili ye2 mana hata yesu alisema atakuja mpaka leo naona ali2lithisha.ngoja 2wadanganye mpaka mpaka mapoz yawaishie.
      23 hours ago via mobile · Like · 1
    • Juma Mtanda ANNA, MIMI AHADI YANGU NITATIMIZA SAA NANE MCHANA KWA KUCOMENT KTK HII SAFU YAKO NA MAANA YAKO.
      23 hours ago · Like · 1
    • Erasto Medson asemayo Juma Mtanda ni kweli we Anna, men uliokutana nao ndio waongo bt c wote waongo
      23 hours ago via mobile · Like
    • Anna Leonard mmmh ndugu yangu bora uwe mkweli kuliko uongo mana haujengi gorofa@kibinzaa hahahahhaahahhahaahhaahhaahhaahahahahaahahahahaha JUMA WEWE acha ulanguzi yaani mimi nataka tuonanae ana kwa ana asa wewe unasemea kuonana kwa comment duh nyie wanaume bhana@JUMA
      23 hours ago · Like · 1
    • Anna Leonard erasto elewa hakuna mkweli duniani hapa fanya utafiti kwanza
      23 hours ago · Like
    • Juma Mtanda NIPO MBALI NA WEWE ULIPO MIMI NIPO MOROGORO NA SIJUI WEWE UPO MKOA GANI KAMA UPO MOROGORO HAINA SHIDA NITATIMIZA AHADI YAKO BILA SHAKA, NIAMBIE WEWE UPO MKOA GANI ?.
      23 hours ago · Like · 1
    • Erasto Medson kumbe hakuna mkwel then last coment at 9t ulnambia we c mwongo,
      23 hours ago via mobile · Like · 1
    • Anna Leonard hahahaahahahaahahahahah erasto weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee endeleza uchokoziii@erasto inabidi nikuelewe juma kuonyesha ukweli wako u comment hapa mda huo mimi nipo bbt mkoani manyara@JUMA
      22 hours ago · Like
    • Erasto Medson C uongo wala uchokoz then apo tayar ushamwongopea Juma, ulambia upo DSM, bbt ln umekuja?
    • Anna Leonard ACHA UONGO ERASTO BABATI JUZI JAMANI NIMEINGIA HAPA Erasto Medson CJAMUOGOPEA JUMA ILA NDO UKWELI HUO
      22 hours ago · Like
    • Erasto Medson kumbe Juzi umeingia,
      22 hours ago via mobile · Like · 1
    • Anna Leonard YEAH
      22 hours ago · Like · 1
    • Benitho Lipangahela hii yote wanafanya kwakua nyie kina dada zetu huwa mnapenda kudanganywa hampendi ukweli Anna Leonard, ila mi sio muongo ivo
      20 hours ago · Like · 1
    • Mathias Disii Cku hiz uongo unapewa mazingira ya ukweli na ukweli unabaki vilevile, cha muhimu, UTASHI uchukue nafasi yake.
      20 hours ago via mobile · Like · 2
    • Anna Leonard aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah ata wewe ni1wapo@benitho
      19 hours ago · Like
    • Anna Leonard kweli kabisa jaman lakini tuchelee kuwa hiyo ni dhambi mbele ya mungu@mathias
      19 hours ago · Like
    • Benitho Lipangahela MI THIMO DADA Anna Leonard
      19 hours ago · Like · 1
    • Anna Leonard looh kaka kwani wewe c mwanaume@@@@benitho
      19 hours ago · Like
    • Benitho Lipangahela KWANI UKIWA MWANAUME INA MANA WOTE MMEZALIWA BABA MOJA NA MAMA MOJA????????????? YANI KILA KITU MTAENDANA?????????????
      19 hours ago · Like
    • Anna Leonard MAI MIA BENITHO
      19 hours ago · Like
    • William Shayo mwanamke ukimwambia ukweli humpati
      19 hours ago · Like · 1
    • Anna Leonard JARIBU BAHATI YK WILLIAM
    • Juma Mtanda ANNA: MJADALA WA TOP KUMI YA UONGO WA WANAUME SASA UMEPATA NAFASI NA UMEINGIA KTK BLOG HII WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
      JUMA MTANDA
      jumamtanda.blogspot.com
    • Peace Mollel uwongo wengine
      16 hours ago · Like
    • Erasto Medson Poa karb nyumbn
      13 hours ago · Like
Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari

RELATED POSTS

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )
  • Popular Post
  • Video
  • Category

Popular Posts

  • HAYA NDIYO MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATU CHA PILI KWA MWAKA 2014 / 2015.
    Wanafunzi wakifanya mtihani wa taifa, picha maktaba ya Mtanda Blog.
  • ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA STYLES ILE YA KIFO CHA MENDE KUTOKANA UHONDO WAKE !!!.
      TUKUMBUSHANE:   JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MKE WAKO AMA MUMEO KUPORESHA PENZI.
  • MWILI WA MWANAMKE UNA MAENEO ZAIDI YA 16 YENYE MSISIMKO NA KUMFANYA KUFIKA KILELENI KABLA YA....WAKATI WA TENDO LA NDOA ?.
    JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI. Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika ut...
  • MLANGO WA KWANZA HADI WA NNE KISOMO CHA MAULID KILOSA
    MLANGO WA NNE (KIAMU)HAPO NDIPO MWIHSO WA SHEREHE ZA MAULID YA KUAZIMISHA KUZALIWA KWA KONGOZI MTUME MUHAMAD S.A.W KATIKA UWANJA WA MSIKITI ...
  • JIFUNZE JINSI YA KUKATA KIUNO WAKATI WA TENDO LA NDOA UNAPOKUWA NA MUME WAKO KATIKA FARAGHA !!!.
      Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (lituni...
  • VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KILICHOPO DODOMA YAVUJA
    WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA. BAADHI ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ng
  • MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
    Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa ji...
  • SALOON KABAMBE YA KISASA YA LEHANA EXERCUTIVE BARBERSHOP YAFUNGULIWA MJI WA IFAKARA.
    MJI WA IFAKARA kwa sasa ni mji unaondelea kukua siku hadi siku na moja ya huduma pengine zilikuwa zinapatikana mkoani hivi sasa zinapatika...
  • JE WAJUA TABIA ZA WANAWAKE WAFUPI WEWE ?.
    Utafiti uliofanywa juu ya tabia za wanawake wafupi ndio huu. Asilimia kubwa ya wanawake wafupi wanajua sana kupenda wanaume lakini changamo...
  • KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA: MEI 29/ 2016 JUMAPILI YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI.
    ULIMISS HII

Video Of Day

Labels

  • kimataifa
  • kitaifa
  • magazeti
  • michezo
  • siasa
  • slider

JIPATIE LOGO YAKO

JIPATIE LOGO YAKO

Search This Blog

Find Us On Facebook

IDADI YA WALIOTEMBELEA.

KUJIUNGA NA VYUO VYA TANZANIA BOFYA KATIKA PICHA

KUJIUNGA NA VYUO VYA TANZANIA BOFYA KATIKA PICHA

JUMA MTANDA

JUMA MTANDA

BLOG MARAFIKI

  • MICHUZI BLOG
    JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WAGONJWA WA UKOMA - Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini via...
    2 hours ago
  • ZanziNews
    Zanzibar na U.A.E kubadilishana uzoefu wa kitaalamu na kiutendaji katika sekta za maji na umeme. - Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Mhe. Nadir Abdullatif Al-Wardy, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mipango madhubuti ya kuhakik...
    9 hours ago
  • Rweyemamu info blog
    Kituo cha Afya Kaloleni kupandishwa hadi kuwa hospitali ya wilaya - Waziri wa Afya,Mohamed Mchengerwa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha,John Kayombo katika Kituo cha Afya Kaloleni. Waziri Mchengerwa aag...
    15 hours ago
  • LUKAZA
    TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...
    1 month ago
  • LEWIS MBONDE BLOG
    BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...
    7 years ago
  • MTANDA BLOG
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    7 years ago
  • MATUKIO NA VIJANA
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    7 years ago
  • BongoClan™ Website No1 Ya Vijana
    DIAMOND AJIBU MAPIGO AFUTA MAPICHA YOTE YA ZARI, KISA HIKI HAPA -
    8 years ago
  • MASAI NYOTAMBOFU
    -
  • MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
    -
  • Shaffih Dauda in Sports.
    -
  • MBONDE MEDIA
    -
  • MC DR.CHENI
    -

FOLLOW US ON FACEBOOK

Dar es Salaam

  • Home
  • About
  • Contact
  • Error Page