BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIVI NDIYO VITUKO VYA WASANII WETU WA TANZANIA JE TUJIFUNZE NINI KUTOKA KWAO KAMA WAO NDIYO KIOO CHA JAMII ?.

 
ALIANZA HIVI
 
AFANDE SELE, HAPA AKAONA SI VEMA KUACHA SHEMU TAKATIFU IKAE BILA KUHIFADHIWA JAPO KW
A MKONO.DIAMONDhttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgo0DEOczs37OacfxBWFjxeJP5YqsihWgVaQd12eFI1gIAT_ofNqeUofsSXaqnU9EfLEXZHMmONypyHy3FTZIXgtM8Vlrr19UF-WLHIG1c6WKe4bHR_klF2EqDD-pLDFVI03xFkkCTIZwQ/s1600/6.jpg 
CHIPUKIZI anayekuja kwa kasi kwenye soko la filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
  
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya pamoja na tasnia ya filamu nchini Baby Madaha.
Msanii wa tasnia ya Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kivazi chake Khanga.
 
Kazi iliyope mbele yetu ni kuhakikisha wabunifu wa vazi wajitahidi kubuni mavazi yenye kustili maungo hasa kwa upande wa akina mama kwani wao wamekuwa mstari wa mbele kuvunja maadili ya mtanzania kutokana na mavazi yao katika kumbi za starehe.

Kwa upande wa wanaume sio vibaya kubuni mavazi ambayo yatawashawishi wasanii wa kiume kuyapenda na kuondoka na kaaraha ya kuvua ama kushirikia suruari ambayo mara nyingi huishia kwenye makalio.

Aidha tunakaribisha maoni juu ya matukio hayo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanywa na wasanii wetu kwa nyanja tofauti nini kifanyi ili kupunguza ama kukomesha kabisa mavazi na vitendo vinavyofanya na vioo hivyo vya jamii ?.

Au itungwe sheria itayodhibiti mambo haya ?.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: