BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUTOKA KATIKA BUNGE, WAZIRI WA UJENZI JOHN MAKOFULI ASOMA HOTUBA YA BAJETI MJINI DODOMA.

 Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisoma hotuba ya bajeti ya Wazara yake, Bungeni Mjini Dodoma, May 13, 2013.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Viwanda  na  Biashara, Abdallah Kigoda, Bungeni Mjini Dodoma May 13, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 13,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: