BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MSICHANA ATAFUNA UUME WA MPENZI WAKE KISA ETI DUME KUKATAA KUFANYA MAPENZI.

Jeffrey Wilkinson akiwa na mpenzi wake Krystle HarrisonFLORIDA, Marekani.
 MSICHANA mmoja ameingia matatani, baada ya kudaiwa kuung’ata uume wa mpenzi wake baada ya kukataa kufanya naye ngono.

Binti huyo aliyefahamika kwa jina la Krystle Harrison (19) na mpenzi wake huyo, Jeffrey Wilkinson (24), walikuwa nyumbani kwao wakati wa tukio hilo.

Wakati wakiwa hapo, ndipo msichana huyo alimtaka wajamiiane, lakini jamaa huyo hakuwa tayari hiv
yo aliamua kuchukua uamuzi wa kukikamata kiungo hicho muhimu kwa mwanaume na kukitafuna mithili ya nyama.

Taarifa ya Jeshi la Polisi mjini humo, alisema Jeffrey alifanikiwa kumsukuma mrembo huyo na kukimbia nje ili kuepuka asimletee madhara zaidi.

Hata hivyo, alipokuwa nje msichana huyo mbabe alimfuata na kumchapa kibao kabla hajamtemea mate usoni huku jamaa akishindwa kufurukuta akihofia kuvunjika uhusiano wao.

Krystle alitiwa mbaroni kwa kutenda vitendo vya ukatili, lakini Jeffrey ambaye ni baba wa mtoto wake alisema kamwe hatamchukulia hatua zozote.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: