Mapadri
wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa
waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la
Olasiti Arusha may 5, 2013. mazishi yaliyofanyika leo.
Mapadri
wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa
waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la
Olasiti Arusha may 5, 2013.
Mapadri
wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa
waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la
Olasiti Arusha.
Mapadri
wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu
waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la
Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika
kwenye kanisa hilo leo.
Askofu
wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat Lebulu akinyunyuzia maji
miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki katika tukio la kurushwa
kwa bomu la mkono kwenye kanisa la Olasiti jijini Arusha may 10,leo.
Kiongozi
wa kanisa Katoliki nchini, Mhashamu Polycarp kaldinari Pengo akiongoza
ibada ya mazishi ya waumini wa kanisa hilo waliouwawa katika bomu
lililotupwa kwenye kanisa la Olasiti Arusha May 5,2-13. Kushoto ni
Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu. (Picha zote na
Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment