Dennis MpendaMungu.
- 8 people like this.
- 11 of 63
- Samwel Shamy lakini kwa nini kijana mdogo hivi akubali kuwa zuzu? nauliza maana nakuona una viungo kamili na mwili wa afya ambapo unaweza hata kubeba mizigo mizito bandarini ukapata dola 50 kwa siku ukaendesha maisha ama ukapata mtaji wa kuanzia,nimechunguza sana mashoga nikakuta wanaanzia mbali sana ikiwepo kusifia wanaume wenzao bila tija
- Emmanuel Lotto daa! Sasa bwana@denis mböna mbunge wenu lusinde ameishia la pili, kwa hiyo na yeye msomi
- Sos Peter CHAMA CHA MAPINDUZI KINGEKUWA HAKIPOKEI MAMBUMBU KISINGE KUWA NA WABUNGE WA HOVYO KAMA LUSINDE.
- Dennis MpendaMungu Samweli Nakuheshimu sana ndugu yangu ila, kwa Taarifa yako tu nenda mamlaka ya mapato Tanzania TRA, usipogundua kuwa hata mm nimechangia uwepo wa Barabara eneo lako kutokana na Kodi ninayotoa.
- Markus Mpangala WALIOSOMA NA AKILI ZAO wakaidhinisha KUFUTWA MATOKEO YA MITIHANI, ni kuchanganyikiwa tu. ni siasa za kishamba sana eti hajasoma. nyie miliosoma na uprofesa wenu mkaulizwa swali kwenye kesi ya DOWANS VS TANESCO: je sheria ya manunuzi ya umma inazuia kuh...See More
- Innocent Christopher Kama ulichangia TRA ndio unajitangaza tujue au we utakuwa mshamba sana we jamaa ndio maana unashambuliwa eti kodi yako imejenga barabara wakianza kujitokeza wengine hapa wenye akili yako ndio taifa litangamia kabisaaaaa
0 comments:
Post a Comment