Ngassa akikabidhiwa jezi 16 na Kaburu kujiunga na Simba wakati akitokea Azam SC kwa mkopo.
Ngassa ni miongoni mwa wachezaji waliowahi kupendwa na mashabiki hasa wa timu pinzani.
haya ni baadhi ya matukio ya mwanasoka huyo machachari hapa Tanzania aliyowahi kuyafanya akiwa na timu tofauti huku akiwa anachaguliwa katika timu ya tai
fa (Taifa Stars). imeandaliwa na Blog www.jumamtanda.blogspot.com
Picha kwa msaada mtandao.
Hapa Ngassa akitambulishwa klabu ya Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwli ya kuitumikia klabu hiyo.Siku ambayo Ngassa alikuwa anatambulishwa ndani ya Klabu ya Azam na kukabidhiwa jezi namba 16 akitokea Yanga.Ngassa akiwa amechora neno Azam wakati akiwa na klabu hiyo yenye maskani yake Chamanzi Dar es Salaam. Hapa akipeana mikono na mashabiki wa Yanga kabla ya mashabiki hao kumkabidhi fulana ya klabu hiyo wakati akitumia Azam SC.Hapa akivaa fulana hiyo ya Yanga huku akiwa na fulana nyingine ya Azam SC.MRISHO HALFAN NGASSA (katikati) akichuana na mlinzi wa Yanga Canavaro huku mlinzi mwenzake Shedrack Nsajigwa akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo wao na Azam ambapo matokeo ya mchezo huo Yanga ilipokea kipigo cha bao 3-1 uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.Mshambuliaji
wa Simba, Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa
Azam Fc, David Mwantika, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya mabao 2-2.Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa akiwatoka mabeki wa timu ya
Somalia, Mohamed Hassan Ali (kushoto) na Hussein Ali Robile wakati wa
mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa wachezaji
wanocheza ligi za ndani (CHAN) uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru,
Dar es Salaam. Stars imeshinda 6-0. mwaka 2010
0 comments:
Post a Comment