Upo
kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!!
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia
mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet
itakayomfurasha.Not too fast though
Sio tweet zile za ‘I’m having fun
being singe, TeamSingle, tupa kuleee ! Mengi anataka ulikune jicho lake
kwa tweet yenye akili ambayo inaweza kuchangia kwa namna moja ama
nyingine kupunguza umaskini uliokithiri nchini.
“Umaskini
umekuwa sugu. Kwa mwaka1 anzia Mei ntatoa sh1m kila mwezi kwa tweet
nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini,” ametweet leo.
Ameongeza
kuwa Tweet hiyo iende kwake, yaani mtu akiandika tweet afanye
kummention ili aione. That’s the way to go Mr. Mengi. Kazi kwenye wazee
Twira !.
0 comments:
Post a Comment