JANA
usiku timu kutoka Kenya na Tanzania ziliwakilisha vizuzi Afrika mashariki
katika sehemu ya saba ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™.
Timu ya Kenya
ilifanikiwa kuzishinda timu nyingine na kufikia hatua ya mwisho ya ukuta wa pesa
wa Guinness. Kenneth kamau na Wills Ogutu wote kutoka Nairobi wamefuzu nusu
fainali pamoja na watanzania Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad ambao
walipata nafasi ya pili jana usiku.
Timu hizi mbili kutoka Kenya na
Tanzania sasa zina nafasi ya kuwakilisha Afrika mashariki na kushinda hadi dola
za kimarekani 250,000 pamoja na kuvikwa taji la ushindi wa Pan-African,
watakapoendelea hatua z juu zaidi. Timu hizi zitahitaji kujiandaa vizuri zaidi
na kujiamini ili kufanya vizuri katika hatua ya nusu fainali.
Timu zingine nne zitakutana katika
robo fainali ijayo ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali ya mashindano ya
GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE.
Usikose kuangalia robo
fainali za Pan-African kupitia televisheni za ITV na Clouds TV ambapo timu za
Africa Mashariki zinapokutana na timu na timu zingine kutoka Afrika Magharibi
huku ukiburudika na kinywaji cha GUINNESS.
Hakikisha kuufwatilia
ukurasa wa facebook wa GUINNESS FOOTBALL CHALL
ENGE kwa habari mbalimbali.
-www.facebook.com/guinnesstanzania
GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE, ni
kipindi cha mchezo wa soka kinachotayarishwa na kampuni ya kimataifa ya
Endemol. Usikose kuangalia na kufuatialia kipindi hiki katika runinga
yako kupitia televisheni za ITV na Clouds TV kila siku ya Jumatano usiku.
Tafadhali kunywa kistaarabu -
Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.
Notes to Editors:
The
GUINNESS and FOOTBALL CHALLENGE, and GUINNESS VIP words and associated logos
are trade marks http://josephatlukaza.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment