WAFANYAKAZI WA MANIS
PAA YA MROGORO.
HII ni taswira ya wafanyakazi wa kufanya usafi katika Manispaa ya Morogoro wakiwajibika ili kuhakikisha Manispaa hiyo inakuwa safi muda wote. Picha ya juu ni wafanyakazi wa halmashauri ya Manispaa hiyo wakati chini ni kikundi cha wazoa takangumu kata ya Kingo nao wakiwajibika kwa kukusanya taka hizo.

0 comments:
Post a Comment