Mwili wa mwanaume anayedaiwa kuwa ni jambazi ukiwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro mara baada ya kufikiwa kutoka katika kijiji cha Mwanzomgumu baada ya majambazi watatu wenye silaha kumjeruhi mfanyabiashara na kumpora sh2.3 Mil kabla ya kumjeruhi mkazi wa kijiji hicho kwa kumfyatulia risasi tumboni kabla wananchi kumdhibiti jambazi mmoja huku wengine wawili wenye silaha kutokewa katika tukio hilo lililotokea majira ya saa 12 kas
oro jana mkoani Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
HAYA NI MAJERAHA KATIKA MIGUU YA JAMBAZI HILO AMBALO ALIJERUHIWA WAKATI AKIPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI HAO.
MUUGUZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO NA MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI WILAYA YA MOROGORO ABDALLAH HUSSEIN BAADA YA MAJERUHI, FAHAM SHOMARI (30) MKAZI WA MWANZOGUMU KUJERUHIWA RISASI TUMBONI WAKATI WA HEKAHEKA ZA MAJAMBAZI YAO MUDA MFUPI KABLA YA KUPORA SH2.3 MIL.
HUU NI MGUU WA MFANYABIASHARA HASSAN RAMADHANI SULEIMAN (40) MKAZI WA MBURAHATI JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI HAYO NA KUMPORA SH2.3 MIL KABLA YA KUNUNUA NDIZI KATIKA SOKO LA MWANZOMGUMU MANISPAA YA MOROGORO AKIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO KWA MATIBABU WODI NO 1.
MFANYABIASHARA HASSAN RAMADHANI SULEIMAN (40) AKIWA AMELALA KATIKA KITANDA CHA KUBEBEA WAGONJWA WASIO JIWEZA HUKU AKICHUKULIWA MAELEZO NA TIMU YA MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI WILAYA YA MOROGORO ABDALLA HUSSEIN WODI NO 1 YA HOSPITALI HIYO YA MKOA WA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment