Hukumu
ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda
inatarajiwa kutolewa leo katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam
ampapo ulinzi mkali umeimarishwa.(Picha na Audiface Jackson)
Ulinzi iliimarishwa katika kila kona ya Mahakama ya Kisutu na huyu ni mfuasi aliyekuwa anataka kuleta vurugu mahakani hapo
Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Mwanamke akizungumza na maasikari waliokuwa wanalinda mahakamani leo
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda wakimshangilia wakati anaingia mahakamani leo asubuh
Ulinzi Mkali
Askari
wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika
mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam

0 comments:
Post a Comment