BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIONGOZI NA WAFUSI WA CHADEMA ZAIDI YA 50 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI IRINGA.


NI KUTOKANA NA VURUGU ZA WAMACHINGA NA POLISI ZILIZOIBUKA LEO.ASKARI WAKIRANDARANDA MOJA YA MITAA YA MANISPAA YA IRINGA ILI KUDHIBITI VURUGU ZZILIZOJITIOKEZA BAINA YA WAFANYABIASHARA WALIKUWA WAKIFANYA BIASH
ARA KATIKA MAENEO YALIYPIGWA MARUFUKU.GURUDUMU LIKIWA IMECHOMWA MOTO KATIKATI YA BARABARA KATIKA VURUGU HIZOHALI ILIKUWA HIVI WAKATI JESHI LA POLISI LIKIDHIBITI VURUGU HIZO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: