MWANDISHI wa gazeti la Tanzania Daima, Salum Mkandema (mwenye gazeti mkononi ) akifafanua jambo wakati akitoa utambulisho na kuwakaribisha warembo ambao watashiriki katika kinyang'anyiro cha kugombea taji la urembo la Redd's Miss Kibaha 2013 katika Chumba cha Habari cha gazeti hilo Jijini Dar es Salaam.WAREMBO WA KIBAHA NDANI YA TANZANIA DAIMA.
MWANDISHI wa gazeti la Tanzania Daima, Salum Mkandema (mwenye gazeti mkononi ) akifafanua jambo wakati akitoa utambulisho na kuwakaribisha warembo ambao watashiriki katika kinyang'anyiro cha kugombea taji la urembo la Redd's Miss Kibaha 2013 katika Chumba cha Habari cha gazeti hilo Jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment