| Akitetra jambo na baadhi ya watu! |
| Akihojiwa na mmoja wa waandishi wa habari! |
| Mhadhiri Maarufu wa Kiisilamu Sheikh Habibu Mazinge (suti nyeusi) akimlaki Sheikh Ponda mara baada ya kuachiliwa huru. |
| Ponda akizungumza na waandishi wa habari. |
| Tutatoa tamko! |
| Kuna mengi yamejitokeza na wale waliokuwa wakiogopa sasa wamepata somo! |
| Safari ikaanza! |
| Akapewa ulinzi tena! |
| Akaingia kwenye gari! |
| Msafara ukavamiwa na wafuasi baada ya dereva wa garilake kusimamisha awasalimie wafuasi hao jambo ambalo polisi walikuwa hawalitaki na kuzua mabishano mazito lwenye mataa ya Maktaba Squire. |
| Wafuasi wakajimwaga barabarani! |
| Takbirrrrrrrrrr!Allahu Akibarrrr! |
| Wafuasi wakivamia gari kumsalimia baada ya dereva wagari hilo kulisimamisha huku polisi wakimvamia aliondoe gari hilo haraka. |
| Waliufukuza msafara huo hadi pale ulipotokomea! |
| Kaaaazi kwelikweli! |
| Yap! |

No comments: