weha, Ella Mangweha
Balozi Msuya akibadilishana mawazo na mama mdogo wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa baba mdogo wa marehemu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Adam Juma (aliyesimama) akisalimiana na balozi Msuya.
Balozi Msuya (katikati) akibadilishana mawazo na baba mdogo wa marehemu David Mangweha (kulia) na mama mdogo Ella (kushoto). (PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)

0 comments:
Post a Comment