BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA DK SLAA KATIKA MKUTANO WA HADHARA MORO.

Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbrord Peter Slaa akiwahutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhari uliofanyika kwenye uw
anja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Sabasaba Manispaa ya Morogoro. Dk Slaa alisema kuwa taifa limepoteza mwelekeo kutokana na viongozi wake kujiinga katika biashara.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: