WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA.
HALI tete katika jijini la Arusha muda huu,Polisi wanapiga
mabomu ovyo,watu waliokuwa wamekusanyika katika Uwanja wa Soweto
wakisubiri kuaga miili ya watu waliofariki dunia katika shambulio la kigaidi wametawanywa kwa mabomu.
Mbali na watu kutawanywa kwa mabomu hayo,Waziri Mkuu aliyejiuzuru Edward Lawassa amenusurika kufa huku gari lake likiharibiwa vibaya.
Mwandishi wa Habarimpya.com alikiwa eneo la tukio ameshuhudia majeruhi kibao wakikimbizwa katika Hospitali ya Maount Meru jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment