BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !! KUTOKA BUNGENI TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA, MHE NCHEMBA.

 
MH.MWIGULU  NNCHEMBA  MUDA HUU AMEMALIZA  KUSEMA  KAULI NZITO BUNGENI ''TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA NA VIONGOZI WA CHADEMA.
''INASHANGAZA KUONA  KIONGOZI  WAKATI  MAITI  ZIMEZAGAA  CHINI  NA DAMU KUTAPAKAA  YEYE  KASIMAMA  PALEPALE  NA  AMESH
IKA BOX  LA  PESA HILI  NI  JAMBO  LA  KUPANGA  WANANCHI  WAELEWE INAWEZEKANANJE  MTU  ACHUKUE  VIDEO  BILA  HATA  KUSHTUKA  WAKATI  BOMU  LINALIPUKA.
''ETI  YY ANAENDELEA  KUCHUKUA  TU  VIDEO  KAMA  ANAREKODI  SEND OFF AU HARUSI'' HIYO  NI  KAULI YA  YA  MH.MWIGULU  NNCHEMBA,,,,WAKATI  HAYA  YOTE YAKIENDELEA  KUTAMKWA  TUKUMBUKE  KUWA  KUNA  WATU  WANALIA  KWA KUPOTEZA  NDUGU  ZAO.
''INABIDI SERIKALI  IWE  MAKINI  NA  MAMBO  HAYA  NA  YASICHUKULIWE  KISIASA  WAKATI  WATU  WENGINE  WANALIA  KWA KUPOTEZA  WATOTO/WAZAZI   NDUGU  NA  JAMAA  ZAO  YAWE  NI  MAMBO  YA  KUSEMASEMA  TU  NA  HAYACHUNGUZWI  NA  KUPATA  MAJIBU  MAZURI. 
IFIKE  MAHALA   MAMBO  HAYA  YAPATE  MAJIBU  NA  WAHUSIKA  WACHUKULIWE  HATUA  KALI  SAANA  BILA  KUJALI  NI  NANI  KAHUSIKA.
CHANZO  http://niaje.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

huyo mbunge kakurupuka bora angekaa kimya kuliko utumbo huo.kweli watu wanajiangalia wao tu.