BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAYA NI MANENO YA MREMBO WA KENYA JUU YA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA ETI ADAI MADAWA YA KULEVYA YALIMKONDESHA.


HUddah Monroe
Huddah Monroe akanusha kuwa na VVU, asema matumizi ya madawa ya kulevya yalimkondesha.

If you are on top..You will become a topic, ndo kinachomkuta mwanadada mrem
bo Mkenya mwenye mkwanja mrefu Huddah Monroe ambae aliwashangaza wengi baada ya kupungua mwili kwa haraka na mwisho wa siku tetesi zikasambaa kuwa anavirusi vya ukimwi .

Huddah ambae alikuwa mmoja kati ya washiriki wa Big Brother Africa mwaka huu amekanusha tetesi hizo na kusema kuwa kupungua uzito kulitokana na matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Cocain pamoja na aina nyingine ya madawa ya kulevya yenye nguvu kali.

28012_363503587075774_1581634983_nMrembo huyo amefunguka katika interview aliyofanya na Ghetto Radio ya nchini Kenya ambapo alifafanua kuwa kuna wakati alikuwa na stress nyingi na aliamua kutumia madawa ya kulevya kuziondoa, lakini sasa hivi ameacha kabisa.

Huddah Monroe akiwa na watangazaji wa Ghetto Radio
Hivi karibuni Huddah alifunguka kupitia akaunti mtandao wa Twitter kuwa aliacha kutumia madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na kuvuta bangi, na kwamba sasa hivi hata kilevi hatumii.
CHANZO http://www.bongo5.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: