Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya
June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa
kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya
kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki. 


Ndani
ni nyomi la hatari,lakini nje nako watu bado wanataka kuingia huku
wengi wao wakisema kuwa "hata kama hakuna siti,sie tuko radhi kusimama
ilimradi tumsapoti Dada yetu."

Getini mambo yako namna hii.
![]() |
| BAADA YA GETI KUFUNGWA KUTOKANA UWINGI WA WATU NDANI KUKOSEKANA NAFASI ILITUMIKA BUSARA HII YA KUFUNGA GETI. |

Foleni bado ni ndefu na watu bado wanazidi kuingia ukumbini hapa hivi sasa.








0 comments:
Post a Comment