omaa na kutengeneza madawati kwa lengo la kupunguza upungufu wa madawatu kwa shule za kata ambayo ina upungufu wa jumla ya madawati 540 kwa shule tano za kata hiyo mkoani Morogoro.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Hapa Diwani Kalungwana wa pili kutoka kulia akikagua madawati hayo huku akiongozwa na mkuu wa shukle hiyo Juma Sefu.
Mhe Diwani Ally Kalungwana (NYAU) akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu na viongozi wa kata ya Mweembesongo mara baada ya kukabidhi madawati hayo.

0 comments:
Post a Comment