Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua
Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa
kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoinine aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mkuu)
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment