
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Naibu Waziri wa
Katiba na Sheria, Angela Kairuki, wakiperuzi kitabu cha Katiba
mpya, baada ya kuzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana kwenye Viwanja wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment