BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME HIVI HAPA.

Tunda aina ya Parachichi.

Assalaam alaykum,ama baada ya salamu ningependa kumshukuru Allah kwa kunijaalia afya na kunipa uwezo wa kuweza kukutana nanyikatika makala hii.

Leo ninaongelea tatizo ambalo linawakab
ili wanaume weng siku hizi suala la kupungukiwa na nguvu za kiume ikiwa ni tatizo linaloweza kusababishwa na upigaji wa punyeto ama utumiaji wa vyakula vyenye kemikali nyingi,kutokana na hayo imesabisha ongezeko la wanaume wenye.

matatizo hayo bila kupata ufumbuzi na kuishia kupata tiba za kienyeji ambazo husababisha madhara na kuishia kujuta ,kwa maana hyo ningewashauri ku2mia vyakula vifuatavyo ili kuweza kuikabili hali hyo ya upungufu wa nguvu za kiume,...VYAKULA VYENYE KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.

 
1.PILIPILI-Pilipili unaweza kula hivyo hivyo au kuchanganya kwenye chakula inasaidia sana
                         
2.TIKITIKI MAJI-Tikitiki maji unaweza kulila kama tunda au kukamua juis yake ni zuri sana

3.PARACHICHI-Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana japo kuna misimu ambayo huuzwa ghali lakini linasaidia xana katika kuongeza nguvu za kiume.
4.CHOKOLATE-Chocolate wengi wa wanaume huidharau na kuona kama wanawake na watoto ndio pekee wanaostahiki kula bila ya kufahamu kuwa ina faida kwao,hivyo inapendeza kupata japo kwa wiki mara tatu.

5.MAJI YA KUNYWA-inapendeza kunywa maji mengi kwa siku na mtu ajitahidi anywe hata zaidi ya lita tanao kama walivyoshauri wataalam wa mambo hayo. . . .itaendelea inshaallah kwa mawali coment hapo na utasaidika.

NB.Epuka
kufanya zinaa na  usithubutu kwani ALLAH aliyetukuka amekataza katika Quran kwa kusema -.na wala msiikaribie zinaa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

Asante sana ustadhi, ninasubiria hilo darasa liendelee, maana nami ni muathirika wa hilo tatizo aisee