BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WABUNGE WA CCM WAKUTANA UKUMBI WA PIUS MSEKWA DODOMA.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM Juni 29, 2013. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye. Mkurugenzi wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCm Juni 29, 2013. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa.
Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri ws Viwanda na Biashara, Gregory Teu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge,Jenista Mhagama.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013.
Washiriki wa Mkutano wa Wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013. Kutoka kulia ni Spika wa Bunge Anne makinda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mwenyekiti) Katibu Mkuu wa CCm, Abdulrahman Kinana na Jenista Mhagama ambaye ni Katibu.
Wabunge wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wao, waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipozungumza katika kikao chaokwenye ukumbiwa Msekwamjini Dodoma Juni 29, 2013.picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: