- WAZUNGUKA NA MAJANI MJI MZIMA NA KUZINGIRA HOSPITALI YA SELIAN.
-
WASHANGA KWANINI WALIO HUSIKA AWAJA KAMATAWA?
-
WAIZINGILA HOSPITALI NA KUONYA KITAKACHO MPATA MBUNGE WAO WENYEWE WATAJIBU.
-
HOFU YATANDA WANAUSALAMA WASHAULI NASSARI AHAMISHIWE.
-
KUNAUVUMI KUWA MABOMBA YA KUPELEKA MAJI MONDOLI YAKATWA.
Joshua Nassari akiongea na waziri mkuu alipokuja mtembelea Hospitali jana.
wananchi wakiwa kwenye uzio wa hospitali ya Seliani wakiimba na kumdai mbunge wao ili waondoke nae.
0 comments:
Post a Comment