BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUZO YA MSANII BORA WA HIP HOP, HIVI NDIVYO KALA JEREMIAH AMEAMUA KUMUENZI MAREHEMU NGWAIR

Msanii Kala Jeremuih akipokea Tuzo usiku wa Jumamosi, Mlimani City.Msanii huyo leo amesema kuwa ameamua kumuenzi marehemu Ngwair kwa kwenda kukabidhi Tuzo moja kwa mama yake Ngwair.
 
ALBERT MANGWEA.

"MIMI KAMA MSANII BORA WA HIP HOP KWA MWAKA HUU NAPENDA KUCHUKUA MU
DA HUU KUWATANGAZIA WATU WOTE KUWA. 
KATIKA TUZO TATU NILIZOCHUKUA MOJA NAIKABIDHI KWA ALBERT MANGWEHA.YANI NI TUZO YA MANGWEA NA NITAIPELEKA KWA MAMA MZAZI WA MANGWEA MOROGORO.
NIMEAMUA HAYO KWA KUWA HAYATI ALBERT MANGWEHA ALIKUWA ANAFANYA MZIKI AMBAO UKO UPANDE AMBAO MIMI NIMESHINDA TUZO TATU YANI HIP HOP.

TUZO NILIYOAMUA KUMPA MANGWEA NI TUZO YA MSANII BORA WA HIP HOP. KWA KUWA ALIKUWA ANASTAHILI PIA KUITWA HIVYO.

TUZO HII NAAMINI ITAKUWA UKUMBUSHO MHIMU SANA KWA FAMILIA YAKE.LAKINI PIA ITAKUWA INAONYESHA MSHIKAMANO WETU KAMA WASANII WA HIP HOP.

POPOTE ULIPO KAMA WEWE NI SHABIKI WA HIP HOP TAFUTA NJIA YOYOTE YA KUENDELEA KUMUENZI NDUGU YETU

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI HIP HOP", Kala Jeremiah.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: