Moja ya kituo cha luninga kikiwa kimeandika kuwa Rais wa Mareni Barack Obama ni Rais wa Tanzania, kosa hilo lilifan
yika wakati Obama akiongea na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kuwasili nchini kitokea Afrika ya Kussini katika ziara ya nchi tatu za afrika ikiwemo Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania ambapo leo amejerea nchini Marekani.

0 comments:
Post a Comment