Helikopta
ya Polisi ikiwa katika doria ya hapa na pale, hata hivyo eneo lote la uwanja wa
Ndege ulidhibitiwa na Wamarekani wenyewe ikiwemo na kazi ya kuongoza
ndege.
Ulinzi
ulimarishwa.
Bendera ya
Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack
Obama.
Gari
alilopanda Rais Obama
(Picha na Habari Mseto Blog)
0 comments:
Post a Comment