BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DUH !!! KUMBE MHE MDEE ANAKERWA SANA NA ISHU YA MADAWA YA KULEVYA.

MBUNGE wa Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameonekana kuzidi kufedheheshwa na uingizwaji wa madawa ya kulevya na biashara hiyo kuzidi kushamili nchini kwa kasi sana....

Aidha hivi karibuni binafsi wenyewe tumeweza kusikia na kushuudia watanzania wakikamatwa ughaibuni na hata wengine kufa kutokana na kumeza kete hizo na wengine kufungwa....

Hali hii naona ndio inayomchosha na kumuumiza Mbunge Halima Mdee na hizi ndizo

Tweets zake kupitia mtandao wake wa Tweeter alizotupia kufunguka Live kuhusiana na Madawa hayo na kukemea vikali...

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: