BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TANZANIA, THAILAND ZASAINI MKATABA WA KUBADILISHANA WAFUNGWA.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(kulia) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand, Mhe. Sura Pong Tovichakehaikul (kushoto) wakisaini Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Tanzania na Thailand.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wengine Waandamizi wa Serikali ya Tanzania na Thailand wakishuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand jana. Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es SalaamKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Stephen Masele walipokutana jana Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam kushuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: