HAPA NI ENEO LA MZUNGUKO WA UBUNGO KWA MAGARI YA KUTOKA MIKOANI IKIWEMO PWANI KUINGIA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM BARABARA IKIWA NYEUPE HUKU WATU WAKIWA JUU YA MAGARI NA WENGI CHINI WAKATI WAKISUBIRI MSAFARA WA RAIS OBAMA NA MWENYEJI WAKE RAIS, JAKAYA KIKWETE MARA ATAKAPO WASILI ENEO HILO. CHANZO http://audifacejackson.blogspot.com
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment