BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MABALOZI WAPYA WAAGANA NA RAIS DK .SHEIN

IMG_2057Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mabalozi Wapya wa Tanzania
walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika
kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_2088Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na mabalozi Wapya wa Tanzania
walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika
kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2096Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi

Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamja na mabalozi Wapya wa
Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za
Nje,walipofika kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Share on Google Plus

About Anonymous

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: