Mzee (pichani) aliyeibuka
hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere amezua gumzo. Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani
Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozik
Mzee huyo alikuwa na ufunguo
mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua
Mwalimu Nyerere ndiye
atakayesimamia Uchaguzi
Mkuu wa mwaka 2015.

0 comments:
Post a Comment