Mpigapicha
na Mhazini wa Chuo cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) , LEAH SAMIKE
anawatangazia kifo cha mume wake Bwana HUMPHREY GEORGE LUPENZA aliyekuwa
Mkurugenzi Mtedaji wa Lucky Construction Limited, (pichani)
kilichotokea leo Saa 10: 55 alfajiri katika Hospitali ya Hindu Mandal
Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu tokea Jumapili.
Mipango ya
mazishi inafanyika nyumbani kwa Marehemu, Kipunguni B -Ukonga Moshi Bar.
Jirani na Kanisa la Pentekoste (Kanisa la Mabati).
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzako.
Marehemu ameacha Mke Leah William Samike na watoto 5 ambao ni Maximillian-Samike, Mary -Maria Clara, George, Harrison na Jane-Fatuma.
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzako.
Marehemu ameacha Mke Leah William Samike na watoto 5 ambao ni Maximillian-Samike, Mary -Maria Clara, George, Harrison na Jane-Fatuma.
Tuungane na familia ya Marehemu katika kuipa faraja.
MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
0 comments:
Post a Comment