Mwenyekiti
wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe leo
amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya ulinzi mkali
kwa takribani masaa matatu.
Taarifa
zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi baada ya kuwatuhumu
kuhusika na mlipuko wa bomu la Arusha katika mkutano wa CHADEMA.
Kuachiwa
huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi na
mawakili wake ambao wa wamekubali kujibu kwa maandishi ni kwa nini
Mbowe aliwatuhumu polisi kwa mlipuko huo.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment