Rais
Barack Obama wa Marekani (kushoto) akizungumza katika mkutano na
Waandishi wa habari wa Tanzania na Kimataifa Ikulu Jijini Dar es Salaam
jioni hii ambapo mbali na kuzungumzia mstakabali wa ziara yake nchini
Tanzania na Afrika pia amezungumzia masulala mbalimbali ya Kimataifa
ukiwepo mgogoro na Vurugu zinazoendelea nchini Misri na Congo DRC. CHANZO http://mrokim.blogspot.com
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment