
Rais Barack Obama wa
Marekani ameondoka nchini mchana huu kurudi nchini Marekani,baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili hapa nchini iliyoanza jana.
Rais Obama na mwenyezi wake
Rais Jakaka Kikwete, leo walifan
ya ziara ya kutembelea mitambo ya kuzalisha
umeme ya Symbion iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi
huo.

0 comments:
Post a Comment