Nikiwa
barabarani kurudi Arusha Juzi, nilikutana na ajali hii, iliotokea
maeneo ya Mgagao ,kilomita chache toka Same,Mkoani Kilimanjaro. Sababu
za ajali hii inasadikiwa kuwa ni mwendo kasi, upepo mkali na Kupasuka kwa Tairimoja
lililosababisha dereva wa gari hilo kushindwa kulimudu gari, dereva wa
gari hilo pamoja na majeruhi kadhaa walikimbizwa katika hospitali ya Same. mmoja wao ni huyo mwenye tisheti ya Kijani ambae alipata majeraha madogo madogo miguuni na usoni.Nikiwa barabarani kurudi Arusha Juzi, nilikutana na ajali hii, iliotokea maeneo ya Mgagao ,kilomita chache toka Same,Mkoani Kilimanjaro. Sababu za ajali hii inasadikiwa kuwa ni mwendo kasi, upepo mkali na Kupasuka kwa Tairimoja lililosababisha dereva wa gari hilo kushindwa kulimudu gari, dereva wa gari hilo pamoja na majeruhi kadhaa walikimbizwa katika hospitali ya Same. mmoja wao ni huyo mwenye tisheti ya Kijani ambae alipata majeraha madogo madogo miguuni na usoni.



0 comments:
Post a Comment